

Lugha Nyingine
Mji wa Astana waweka mazingira ya kukaribisha Mkutano wa 24 wa kilele wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 02, 2024
Mkutano wa 24 wa Baraza la Wakuu wa Nchi la Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) unakaribia kufunguliwa huko Astana, mji mkuu wa Kazakhstan, na mji wa Astana umekuwa na mazingira ya kukaribisha mkutano huo.
(Mpiga picha:Shan Lu/Chinanews)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma