Karakana ya Luban yawaandaa watu wenye ujuzi kwa maendeleo ya viwanda na ujenzi wa mambo ya kisasa nchini Tajikistan

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 05, 2024
Karakana ya Luban yawaandaa watu wenye ujuzi kwa maendeleo ya viwanda na ujenzi wa mambo ya kisasa nchini Tajikistan
Mwalimu (kushoto) kutoka Chuo cha Usimamizi wa Ujenzi wa Mijini na Teknolojia ya Ufundi cha Tianjin, China akitoa maelekezo kwa mwanafunzi kwenye Karakana ya Luban mjini Dushanbe, Tajikistan, Juni 14, 2024. (Xinhua/Zheng Kaijun)

DUSHANBE – Karakana ya Luban, iliyoanzishwa kwa ushirikiano na Chuo cha Usimamizi wa Ujenzi wa Mijini na Teknolojia ya Ufundi cha Tianjin, China na Chuo Kikuu cha Ufundi cha Tajikistan, ilianza kufanya kazi mwezi wa Novemba Mwaka 2022. Inachukua eneo lenye ukubwa wa mita za mraba 1,138 na ni ya kwanza ya aina yake katika Asia ya Kati.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha