Michezo ya kufurahisha ya jangwani yafanyika kwenye eneo la kivutio cha utalii la Shapotou, Kaskazini mwa China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 08, 2024
Michezo ya kufurahisha ya jangwani yafanyika kwenye eneo la kivutio cha utalii la Shapotou, Kaskazini mwa China
Mshiriki akishiriki kwenye shughuli ya kuvuna tikiti maji katika michezo ya kufurahisha ya jangwani iliyofanyika kwenye eneo la kivutio cha utalii la Shapotou la Zhongwei, Mkoa wa Unaojiendesha wa Kabila la Wahui wa Ningxia, Kaskazini-Magharibi mwa China, Julai 7, 2024. (Xinhua/Feng Kaihua)

Michezo ya kufurahisha ya jangwani imekuwa ikifanyika kwenye eneo la kivutio cha utalii la Shapotou la Zhongwei, Mkoa wa Unaojiendesha wa Kabila la Wahui wa Ningxia, Kaskazini-Magharibi mwa China kuanzia Julai 6 hadi Julai 8, ikitarajiwa kuvutia washiriki zaidi ya 1,000.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha