Bidhaa na programu zinazotumia AI zavutia watembeleaji wengi kwenye Mkutano wa AI Duniani 2024

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 08, 2024
Bidhaa na programu zinazotumia AI zavutia watembeleaji wengi kwenye Mkutano wa AI Duniani 2024
Roboti ya kucheza dansi ikivutia watembeleaji wengi wa maonyesho, Julai 5. (Picha na Huang Xiaoyong/Xinhua)

Mkutano wa AI Duniani 2024 na Mkutano wa Ngazi ya Juu kuhusu Usimamizi wa Kimataifa wa AI umemalizika katika mji wa Shanghai, China jana Jumapili, Julai 7. Bidhaa na programu zinazotumia AI zimevutia watembeleaji wengi kwenye mkutano huo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha