Katika Picha: Mandhari ya Kivutio cha Utalii cha Shibaozhai huko Chongqing, Kusini Magharibi mwa China (9)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 12, 2024
Katika Picha: Mandhari ya Kivutio cha Utalii cha Shibaozhai huko Chongqing, Kusini Magharibi mwa China
Picha iliyopigwa tarehe 10 Julai 2024 ikionyesha eneo la Shibaozhai lenye kivutio cha utalii la Wilaya ya Zhongxian ya Chongqing kusini magharibi mwa China. (Xinhua/Liu Chan)

Kivutio cha utalii cha Shibaozhai kinaonekana kama bonsai yenye umbo la moyo iliyoko katikati ya sehemu ya Magenge Matatu ya Mto Changjiang wa China. Kwenye sehemu hiyo kuna pagoda ya mbao yenye ghorofa 12 na urefu wa mita 56 ambayo inasimama juu ya nguzo 20 na kuegemea miamba iliyo karibu na mto huo. Ujenzi wa pagoda hiyo ulianzia Enzi ya Ming (1368-1644) ya China katika zama za kale, na pagoda hiyo ni sehemu ya kivutio kikuu cha utalii kwenye eneo la Shibaozhai. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha