Lugha Nyingine
Pilikapilika za Kuvuna Matunda ya Zabibu katika Wilaya ya Feixi mkoani Anhui, China (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 19, 2024
Mwanakijiji akichuma zabibu katika shamba la ikolojia la jumuiya ya makazi ya Qiming, Kijiji cha Mingchuan, Wilaya ya Feixi, China, Julai 18. (Xinhua/Xu Yong) |
Hivi karibuni katika jumuiya ya makazi ya Qiming, Kijiji cha Mingchuan, Wilaya ya Feixi, Mji wa Hefei Mkoani Anhui, China zabibu shambani hatua kwa hatua zimeiva na wanakijiji wenyeji wameanza kuzichuma kwa ajili ya kuzipeleka sokoni, hali ambayo pia imevutia watalii wengi kuja kujionea uchumaji huo.
Katika miaka ya hivi karibuni, kijiji hicho cha Mingchuan cha wilaya ya Feixi kimekuwa kikiendeleza upandaji wa zabibu wa kiikolojia na tasnia nyingine bainifu kwa kiwango kikubwa kulingana na hali ya eneo hilo, kikihimiza kikamilifu maendeleo ya kilimo chenye ufanisi na mapato ya wakulima, na kuchangia ustawishaji wa vijijini.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma