

Lugha Nyingine
Ufunguzi wa Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024 yafanyika (12)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 27, 2024
![]() |
Mpanda farasi wa kike akifuata njia ya wachezaji kwenye Mto Seine wakati wa ufunguzi wa Michezo ya Olimpiki ya Paris 2024 huko Paris, Ufaransa, Julai 26, 2024. (Xinhua/Guo Yu) |
Ufunguzi wa Michezo ya 33 ya Olimpiki ya Majira ya Joto ulifanyika tarehe 26, Julai kwa saa za Paris huko Paris, Ufaransa.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma