Eneo Jipya la Lanzhou, China ladumisha ukuaji wa viwanda (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 29, 2024
Eneo Jipya la Lanzhou, China ladumisha ukuaji wa viwanda
Mfanyakazi akifanya kazi ya kuchomelea kwenye karakana ya Eneo la Viwanda vya Zana na Vifaa vya Teknoloja ya Hali ya Juu la Kundi la LS la Lanzhou katika Mkoa wa Gansu, kaskazini-magharibi mwa China, Julai 25, 2024. (Xinhua/Fan Peishen)

Katika miaka ya hivi karibuni, Eneo Jipya la Lanzhou limeanzisha miradi 1,080 ya sifa bora ya viwanda ikiwa na uwekezaji wenye thamani ya yuan jumla ya bilioni 528 (dola karibu bilioni 72.8 za Kimarekani), na ongezeko la kila mwaka la thamani ya nyongeza ya viwanda limedumisha asilimia zaidi ya 50. Kuanzia Mwaka 2011 hadi 2023, Pato la Jumla (GDP) la Eneo Jipya la Lanzhou limeongezeka kutoka chini ya yuan milioni 500 (sawa na dola za Marekani milioni 69) hadi yuan bilioni 37.5 (sawa na dola za Marekani bilioni 5.2).

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha