Zheng/Huang wa China Washinda Medali za Dhahabu kwenye mashindano ya mchezo wa mpira wa Badminton kwa wachezaji wawili wawili wa kike na kiume kwenye Michezo ya Olimpiki ya Paris (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 03, 2024
Zheng/Huang wa China Washinda Medali za Dhahabu kwenye mashindano ya mchezo wa mpira wa Badminton kwa wachezaji wawili wawili wa kike na kiume kwenye Michezo ya Olimpiki ya Paris
Wachezaji washindi wakipiga picha pamoja kwenye hafla ya kutunuku medali washindi tarehe 2, Agosti 2024. (Mpiga picha:Chen Bin/Xinhua)

Siku hiyo, wachezaji Zheng Siwei/Huang Yaqiong wa Timu ya China wameshinda Kim Won-ho/Jeong Na-eun wa Timu ya Korea Kusini kwa 2-0 na kupata medali za dhahabu kwenye mashindano ya mchezo wa mpira wa Badminton kwa wachezaji wawili wawili wa kike na kiume kwenye Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Joto ya Paris 2024.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha