

Lugha Nyingine
Zabibu zawa mbivu, wakulima wa matunda wawa na pilikapilika nyingi za kuvuna huko Jinzhou,Mkoa wa Hebei, China (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 05, 2024
![]() |
Mkulima wa Ushirika wa Upandaji Zabibu akipakia zabibu alizochuma katika Kijiji cha Zhoutou cha Wilaya ya Taoyuan, Mji wa Jinzhou, katika Mkoa wa Hebei, China, tarehe 4, Agosti. |
Siku za hivi karibuni, zabibu zilizopandwa kwenye shamba lenye ukubwa wa hekta 2667 zimeingia kipindi cha kuwa mbivu katika Mji wa Jinzhou, Mkoa wa Hebei, China na wakulima wameanza kuzichuma kwa wakati unaofaa ili kuzipeleka kuuza sokoni. Katika miaka ya hivi karibuni, mji huo wa Jinzhou umeendeleza upandaji wa zabibu kwa kiwango kikubwa, kuhamasisha ufanisi wa kilimo, kuongeza mapato ya wakulima na kuwezesha ustawishaji wa vijiji.
(Mpiga picha:Yang Shiyao)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma