

Lugha Nyingine
China yashika nafasi ya Kwanza katika Mashindano ya Kuogelea kiufundi kwa Minyumbuliko ya Pamoja Katika Michezo ya Olimpiki ya Paris (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 06, 2024
Mashindano ya mchezo wa kuogelea kiufundi kwa minyumbuliko sawa ya pamoja kwenye Michezo ya Olimpiki ya Paris yamefanyika jana Jumatatu, Agosti 5 katika Kituo cha Michezo ya Majini cha Michezo ya Olimpiki ya Paris ambapo timu ya China ilishika nafasi ya kwanza katika raundi hiyo ikifuatiwa na Hispania na Japan katika nafasi ya pili na tatu, mtawalia.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma