Panda Wafurahia Hali ya Kupoa Joto la Majira ya Joto katika Mji wa Dujiangyan, Mkoa wa Sichuan, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 14, 2024
Panda Wafurahia Hali ya Kupoa Joto la Majira ya Joto katika Mji wa Dujiangyan, Mkoa wa Sichuan, China
Panda waliokuwa wakila chakula kitamu, kucheza michezo na kufurahia kupoa kwa joto la majira ya joto, wamevutia watalii wengi kutembelea, katika Msingi wa Mlima Qingcheng wa Kituo cha Uhifadhi na Utafiti wa Panda cha China huko Dujiangyan, Mji wa Chengdu, Mkoa wa Sichuan, China, Agosti 11, 2024. (Tovuti ya Gazeti la Umma/Chen Xianlin)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha