Watu wafurahia wikendi kwenye Jumba la Makumbusho la Magari Mjini Beijing (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 19, 2024
Watu wafurahia wikendi kwenye Jumba la Makumbusho la Magari Mjini Beijing
Watalii wakitembelea Jumba la Makumbusho la Magari la Beijing, Agosti 18. (Xinhua/Zhang Chenlin)

Jumapili, wazazi wengi wanapeleka watoto wao kwenda kutembelea Jumba la Makumbusho la Magari la Beijing lililoko katika eneo la Fengtai, Mjini Beijing, na wakijifunza mambo kuhusu magari, kujaribu mchezo wa mawasiliano, na kufurahia muda wao wa wikendi. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha