Rais Xi akutana na Waziri Mkuu wa Fiji Sitiveni Rabuka (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 21, 2024
Rais Xi akutana na Waziri Mkuu wa Fiji Sitiveni Rabuka
Mchana wa Tarehe 20, Agosti, Rais wa China Xi Jinping amekutana na Waziri Mkuu wa Fiji Sitiveni Rabuka anayefanya ziara rasmi nchini China kwenye Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing. (Picha na Zhai Jianlan/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha