Rais Xi akutana na viongozi wa mabunge ya nchi mbalimbali walioshiriki kwenye shughuli za maadhimisho ya miaka 40 ya  Bunge la Umma la China kujiunga na Shirikisho la Mabunge ya Nchi Mbalimbali IPU (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 21, 2024
Rais Xi akutana na viongozi wa mabunge ya nchi mbalimbali walioshiriki kwenye shughuli za maadhimisho ya miaka 40 ya  Bunge la Umma la China kujiunga na Shirikisho la Mabunge ya Nchi Mbalimbali IPU
Mchana wa Tarehe 20, Agosti, Rais wa China Xi Jinping amekutana na viongozi wa mabunge ya nchi mbalimbali walioshiriki kwenye shughuli za maadhimisho ya miaka 40 ya Bunge la Umma la China kujiunga na Shirikisho la Mabunge ya Nchi mbalimbali IPU, na kuhudhuria kwenye kongamano la 6 la wabunge wa nchi zinazoendelea katika Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing. (Picha na Zhai Jianlan/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha