Teknolojia Yasaidia Wakulima Kuendeleza Kilimo katika Mkoa wa Jilin, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 22, 2024
Teknolojia Yasaidia Wakulima Kuendeleza Kilimo katika Mkoa wa Jilin, China
Agosti 20, mkuu wa Shamba la Familia la Jiuyuefeng, Xiao Yao akiendesha droni kusambaza mbolea kwa mpunga kwenye shamba lake lililoko katika Kijiji cha Yilaxi, Wilaya ya Yongji, Mkoa wa Jilin. (Xinhua/Zhang Nan)

Katika miaka ya hivi karibuni, uvumbuzi wa sayansi na teknolojia katika sekta ya kilimo umekuwa msingi muhimu wa kuhakikisha mavuno mazuri ya nafaka Mkoani Jilin. Kutoka "kujua jinsi ya kulima" hadi "kujua jinsi ya kulima kwa teknolojia", Mkoa wa Jilin umekuza nguvukazi yenye sifa mpya katika nyanja zote za uzalishaji wa kilimo, ukiongeza utafiti ya teknolojia muhimu na kuhimiza mageuzi ya nguvu ya kuendeleza kilimo, kuinua ufanisi na kuboresha sifa za mazao.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha