

Lugha Nyingine
Mchezo wa Mfalme Kima Wukong Wahimiza Utalii wa Shanxi (5)
Siku hizi, mchezo wa Mfalme Kima Wukong (Black Myth: Wukong) umefuatiliwa na wapenzi wa fasihi ya Safari ya Magharibi na wapenzi wa usanifu wa majengo ya kale. Shanxi, mkoa wenye majengo mengi ya kale, umefuatiliwa tena kutokana na mazingira tofauti ya majengo ya kihistoria kwenye mchezo huo. Kulingana na takwimu ya Wizara ya Utamaduni na Utalii ya Shanxi, mkoa huo umechukua maeneo 27 kati ya maeneo 36 ya mazingira kwenye mchezo huo. Hebu tuangalie kuna nini kimefichwa katika majengo ya kale ya Shanxi?
Kwa mujibu wa takwimu, sasa Shanxi ina vitu vya kitamaduni vya kale visivyohamishika 53,875, ikiwa ni pamoja na vitengo 531 vya uhifadhi wa mabaki ya kitamaduni muhimu vya ngazi ya taifa, ambayo inachukua 10.5% ya jumla ya nchi nzima, ikishika nafasi ya kwanza nchini China.
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma