Mkutano wa Roboti wa Dunia 2024 wafunguliwa Beijing (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 26, 2024
Mkutano wa Roboti wa Dunia 2024 wafunguliwa Beijing
Picha ikionesha roboti zenye umbo la kibinadamu kwenye Mkutano wa Roboti wa Dunia 2024 hapa Beijing, China Agosti 21, 2024. (Xinhua/Jin Liwang)

Mkutano wa Roboti wa Dunia 2024 ulifunguliwa hapa Beijing siku ya Jumatano iliyopita. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha