Ndege za Jeshi la Anga la China Zashiriki kwenye Maonyesho ya Anga ya Kimataifa Nchini Misri

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 29, 2024
Ndege za Jeshi la Anga la China Zashiriki kwenye Maonyesho ya Anga ya Kimataifa Nchini Misri
Ndege za J-10 za timu ya maonyesho ya anga ya Bayi zikiruka juu ya Piramidi za Giza mjini Giza, Misri Agosti 28, 2024. Timu hiyo iko nchini Misri kwa ajili ya kushiriki kwenye maonyesho ya anga ya kimataifa kuanzia Septemba 3 hadi 5. (Xinhua/Sui Xiankai)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha