Xi Jinping akutana na Msaidizi wa rais wa Marekani anayeshughulikia mambo ya usalama wa nchi Jake Sullivan

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 30, 2024
Xi Jinping akutana na Msaidizi wa rais wa Marekani anayeshughulikia mambo ya usalama wa nchi Jake Sullivan
Mchana wa tarehe 29, Agosti, rais Xi Jinping wa China alikutana na msaidizi wa rais wa Marekani anayeshughulikia mambo ya usalama wa nchi Bw. Jake Sullivan katika Jumba la Mikutano ya Umma la Beijing, China. (Picha na Li Xueren/Xinhua)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha