Picha: Mapambo ya maua yaonekana mjini Beijing kwa ajili ya kukaribisha Mkutano wa Viongozi wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika 2024

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 30, 2024
Picha: Mapambo ya maua yaonekana mjini Beijing kwa ajili ya kukaribisha Mkutano wa Viongozi wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika 2024
Watu wakipita mapambo ya maua ya kukaribisha Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika 2024 mjini Beijing tarehe 29, Agosti. (Picha na Wang Jing/People's Daily Online)

Mkutano wa viongozi wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) 2024 utafanyika mjini Beijing kuanzia tarehe 4 hadi 6 mwezi Septemba.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha