Viongozi wakuu mbalimbali wa kuhudhuria mkutano wa FOCAC wawasili Beijing kwa mfululizo (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 02, 2024
Viongozi wakuu mbalimbali wa kuhudhuria mkutano wa FOCAC wawasili Beijing kwa mfululizo
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Felix-Antoine Tshisekedi Tshilombo akiwasili Beijing kwa kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) mjini Beijing, China, Septemba 1, 2024. (Xinhua/Chen Zhonghao)

BEIJING - Viongozi wa nchi mbalimbali za Afrika wanafululiza kuwasili Beijing, Mji Mkuu wa China kwa kuhudhuria Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) utakaofanyika kuanzia Septemba 4-6.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha