Mamia na Maelfu ya Meli Zaanza Kuvua Samaki katika Bahari ya Huanghai na Bohai (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 02, 2024
Mamia na Maelfu ya Meli Zaanza Kuvua Samaki katika Bahari ya Huanghai na Bohai
Maafisa wa utekelezaji wa sheria za uvuvi wakiendesha boti ya mwendo kasi kuambatana na meli za kuvua samaki katika Bandari ya Shidao, Mji wa Rongcheng, Mkoa wa Shandong, Septemba 1. (Xinhua/Zhu Zheng)

Saa 6:00 mchana ya siku hiyo, kipindi cha miezi mitatu cha kusitishwa kuvua Samaki katika maeneo ya Bahari ya Huanghai na Bohai yalimaliza na kipindi cha kuvua samaki kimeanza, na wavuvi wameanza kufanya kazi ya uvuvi baharini kutoka bandari mbalimbali.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha