Mkutano wa kilele wa FOCAC wa 2024 kufanyika Beijing kuanzia kesho Jumatano Septemba 4 (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 03, 2024
Mkutano wa kilele wa FOCAC wa 2024 kufanyika Beijing kuanzia kesho Jumatano Septemba 4
Picha hii iliyopigwa Agosti 29, 2024 ikionyesha nembo ya Mkutano wa Kilele wa 2024 wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) karibu na Kituo cha Mikutano cha Kitaifa cha China mjini Beijing, China. (Xinhua/Ren Chao)

Mkutano wa Kilele wa Baraza la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) umepangwa kufanyika Beijing, China kuanzia kesho Jumatano Septemba 4 hadi siku ya Ijumaa Septemba 6 ambapo viongozi wakuu mbalimbali kutoka nchi za China na Afrika watahudhuria.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha