Timu ya Urukaji maalumu wa ndege za jeshi la anga la China yaonekana kwenye Maonyesho ya Kimataifa ya Ndege ya Misri

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 05, 2024
Timu ya Urukaji maalumu wa ndege za jeshi la anga la China yaonekana kwenye Maonyesho ya Kimataifa ya Ndege ya Misri
Timu ya Urukaji Maalumu wa Ndege ya Agosti Mosi ya Kikosi cha Anga cha Jeshi la Ukombozi wa Umma la China (PLA) ikionesha urukaji wake kwa ustadi maalumu kwenye Maonyesho ya kwanza ya Kimataifa ya Ndege ya Misri kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa El Alamein mjini El Dabaa, Misri, Septemba 4, 2024. (Xinhua/Wang Dongzhen)
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha