Lugha Nyingine
Mashamba kwenye Miteremko ya Mlima Yueliang yashuhudia pilika za wakulima kuvuna mpunga mkoani Guizhou, China
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 06, 2024
Picha ikionyesha mashamba ya jaluba ya miteremko ya milimani katika Kijiji cha Jiabang, Wilaya ya Congjiang, Mkoa wa Guizhou, Septemba 4. (Xinhua/Yang Wenbin) |
Hivi karibuni, mpunga uliopandwa kwenye mashamba ya miteremko katika wilaya za Congjiang, Rongjiang na nyinginezo zilizopo eneo la Mlima Yueliang la Mkoa wa Guizhou, China umeingia msimu wa mavuno. Wakulima wenyeji wametumia fursa ya hali nzuri ya hewa kuvuna, kubeba na kukausha mpunga huo ili kuhakikisha mpunga unahifadhiwa kwenye ghala la nafaka kwa wakati.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma