Maonyesho ya Usanifu wa Nyumba za Mbao na Sekta ya Makazi ya Kitalii ya China (Rizhao) Yafunguliwa (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 06, 2024
Maonyesho ya Usanifu wa Nyumba za Mbao na Sekta ya Makazi ya Kitalii ya China (Rizhao) Yafunguliwa
Mwonyeshaji bidhaa akitangaza bidhaa zake kwenye Maonyesho ya Usanifu wa Nyumba za Mbao na Sekta ya Makazi ya Kitalii ya China (Rizhao), Septemba 5. (Xinhua/ Guo Xulei)

Mkutano wa Kimataifa ya Mbao na Bidhaa za Mbao Mwaka 2024 na Maonesho ya Usanifu wa Nyumba za Mbao na Sekta ya Makazi ya Kitalii ya China (Rizhao) yamefunguliwa siku ya Alhamisi, Septemba 5 katika Mji wa Rizhao, Mkoa wa Shandong, China.

Mkutano huo, wenye kaulimbiu ya "uwazi, ushirikiano, manufaa ya pande zote", umevutia kampuni nyingi za mnyororo kamili wa sekta ya mbao, usanifu wa nyumba za mbao na makazi ya kitalii kushiriki kwenye maonyesho hayo. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha