Waandishi wa Habari wa China na wa Kigeni wajionea hali halisi ya utamaduni wa Emei kupitia mabadilishano, kufunzana (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 10, 2024
Waandishi wa Habari wa China na wa Kigeni wajionea hali halisi ya utamaduni wa Emei kupitia mabadilishano, kufunzana
(Picha/Chen Chun'an)

Hivi karibuni, wawakilishi wa vyombo vya habari kutoka China, Ulaya na Afrika, ambao walikuwa wakishiriki kwenye Jukwaa la Ushirikiano wa Vyombo vya Habari kuhusu“Ukanda Mmoja, Njia Moja”Mwaka 2024, wamefanya safari katika Mji wa Leshan, ulioko Mkoa wa Sichuan, kusini magharibi mwa China ili kujionea hali halisi ya utamaduni wa Emei.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha