Mazoezi ya Kazi ya Shule Yakaribisha Mavuno Mazuri katika Majira ya Mpukutiko

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 11, 2024
Mazoezi ya Kazi ya Shule Yakaribisha Mavuno Mazuri katika Majira ya Mpukutiko
Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Donglin wakivuna mboga katika bustani ya mboga ya shuleni, Septemba 10. (Xinhua/Xu Yu)

Katika miaka ya hivi karibuni, Shule ya Msingi ya Donglin imeanzisha masomo ya uzoefu wa kufanya kazi katika Mji wa Wilaya ya Donglin ya Eneo la Wuxing la Mji wa Huzhou mkoani Zhejiang. Kupitia njia za kupanda mboga, kupika mboga na kufanya kazi ya mashambani na kadhalika, wanafunzi wameshiriki kwenye masomo mazuri ya uzoefu wa kufanya kazi ili kupata ujuzi wa kilimo huku wakiongeza shauku ya kufanya kazi.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha