Picha: Kutembelea sehemu za Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China 2024

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 12, 2024
Picha: Kutembelea sehemu za Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China 2024
Picha iliyopigwa tarehe 11, Septemba ikionesha Bustani ya Shougang, ambayo ni moja kati ya sehemu za Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China 2024. (Xinhua/Zhang Chenlin)

Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China (CIFTIS) 2024 yenye kauli mbiu ya “Huduma za Kimataifa, Kunufaika Pamoja” yatafanyika kuanzia tarehe 12 hadi 16, Septemba kwenye Kituo cha Mikutano ya Kitaifa cha Beijing na Bustani ya Shougang mjini Beijing.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha