Shughuli Mbalimbali za Jumuiya za wakazi Zakaribisha Sikukuu ya Jadi ya Mbalamwezi (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 12, 2024
Shughuli Mbalimbali za Jumuiya za wakazi Zakaribisha Sikukuu ya Jadi ya Mbalamwezi
Watu wanaojitolea wa wanachama wa Chama cha Kikomunisti cha China na wakazi wa Jumuiya ya Moer, Mtaa wa Longquan wakitengeneza mapambo ya taa ya mianzi na kupata uzuri wa utamaduni wa jadi, Septemba 11. (Xinhua/Xu Yu)

Sikukuu ya jadi ya Mbalamwezi inasherehekewa kwa furaha kubwa katika mwezi wa Septemba. Hivi karibuni, jumuiya mbalimbali za wakazi wa Mtaa wa Longquan, Eneo la Wuxing, Mjini Huzhou, Mkoani Zhejiang zimefanya shughuli za "Sikukuu yetu · Sikukuu ya jadi ya Mbalamwezi" zilizo na maudhui tofauti na aina mbalimbali, ili kurithi na kuendeleza utamaduni mzuri wa kijadi, kuboresha maisha ya kitamaduni ya watu na kukaribisha Sikukuu ya jadi ya Mbalamwezi.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha