Mandhari Nzuri ya Mbuga ya Ulagai Yajitokeza katika Majira ya Mpukutiko (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 18, 2024
Mandhari Nzuri ya Mbuga ya Ulagai Yajitokeza katika Majira ya Mpukutiko
Picha ikionyesha Mbuga ya Ulagai, katika Mkoa wa Mongolia ya Ndani, China, Septemba 17 (picha kwa droni). (Xinhua/Peng Yuan)

Katika majira ya mpukutiko, Mbuga ya Ulagai kaskazini-mashariki mwa Xilingol League, Mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani wa China ni yenye kupendeza kwa nyasi na mandhari ya rangi mbalimbali. Chini ya anga la bluu, mitiririko inayojipinda pinda ya maji ya mto na mbuga ni kama vile vimefunikwa na "nguo za vuli".

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha