Lugha Nyingine
Mwezi mkubwa mzima wang'aa usiku wa Sikukuu ya Jadi ya Mbalamwezi ya China (9)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 18, 2024
Picha ya droni iliyopigwa Septemba 17, 2024 ikionyesha mwezi ukichomoza kwenye Wenling, Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China. (Picha na Xu Weijie/Xinhua) |
Sikukuu ya Jadi ya Mbalamwezi ya China, ambayo huadhimishwa kila mwaka katika siku ya 15 ya mwezi wa nane kwenye kalenda ya kilimo ya China, imeangukia Septemba 17 mwaka huu. Ikiwa ni moja ya sikukuu muhimu zaidi za jadi za China, ni kipindi cha furaha wakati familia zinapojumuika, kutazama kwa pamoja mwezi mkubwa mzima na kuonja kwa pamoja keki za mwezi, ambayo ni kitafunwa cha kijadi, kinachoashiria msimu wa mavuno.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma