Kumbukumbu za miaka 93 ya Tukio la Septemba 18 zafanyika Shenyang, Mkoa wa Liaoning wa China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 19, 2024
Kumbukumbu za miaka 93 ya Tukio la Septemba 18 zafanyika Shenyang, Mkoa wa Liaoning wa China
Wajumbe wakipiga kengele kwenye hafla ya kukumbuka Tukio la Septemba 18 katika Jumba la Makumbusho ya Historia ya 9.18 huko Shenyang, mji mkuu wa Mkoa wa Liaoning, kaskazini mashariki mwa China, Septemba 18, 2024. (Xinhua/Li Gang)

Hafla ya kukumbuka miaka 93 tangu kutokea Tukio la Septemba 18 Mwaka 1931 imefanyika katika Jumba la Makumbusho ya Historia ya 9.18 huko Shenyang, mji mkuu wa Mkoa wa Liaoning, kaskazini mashariki mwa China siku ya Jumatano, katika tukio hilo wanajeshi wa Japan walianza kufanya uvamizi wa kumwaga damu dhidi ya China. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha