Watu wa kabila la Watibet watumbuiza Ngoma ya Xuan katika Mkoa wa Xizang, China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 19, 2024
Watu wa kabila la Watibet watumbuiza Ngoma ya Xuan katika Mkoa wa Xizang, China
Watu wa kabila la Watibet wakicheza Ngoma ya Xuan karibu na magofu ya Ufalme wa Guge katika Wilaya ya Zanda ya Eneo la Ngari, Mkoa unaojiendesha wa Xizang, kusini-magharibi mwa China, Septemba 11, 2024. (Xinhua/Sun Ruibo)

Ngoma ya Xuan ni urithi wa kitamaduni wa Kabila la Watibet wa Mkoa unaojiendesha wa Xizang, kusini-magharibi mwa China inayotoka Ufalme wa kale wa Guge ambayo huchanganya hotuba, kuimba na kucheza. Ngoma hiyo iliingizwa katika orodha ya urithi wa utamaduni usioshikika wa China Mwaka 2008. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha