Maonyesho ya 21 ya China-ASEAN yafunguliwa (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 25, 2024
Maonyesho ya 21 ya China-ASEAN yafunguliwa
Mwonyeshaji bidhaa akitangaza bidhaa za mti wa udi kwenye Banda la Vietnam la Kituo cha Kimataifa cha Mikutano na Maonyesho cha Nanning, Septemba 24. (Xinhua/Zhang Ailin)

Maonyesho ya 21 ya China na Jumuiya ya Nchi za Asia Kusini Mashariki (ASEAN) na Mkutano wa Kilele wa Biashara na Uwekezaji wa China-ASEAN umefunguliwa siku ya Jumanne, Septemba 24 katika Mji wa Nanning, Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, China.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha