Lugha Nyingine
Mapambo ya Kupendeza yawekwa ili kukaribisha Siku ya Taifa la China (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 26, 2024
Bendera ya Taifa la China na bendera ya Mkoa wa Utawala Maalum wa Hong Kong zikiwa zimening’inizwa kwenye Mtaa wa Lee Tung huko Hong Kong, China, Septemba 25. (Xinhua/Chen Duo) |
Wakati Siku ya Taifa la China ambayo mwaka huu ni ya kusherehekea miaka 75 tangu kuanzishwa kwa Jamhuri ya Watu wa China ikikaribia, maeneo mbalimbali nchini China yamepambwa kwa maua na taa za kijadi zenye kupendeza na kuvutia watu, zikionyesha hali ya furaha na amani.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma