Michezo ya Kujifurahisha ya Wakulima Yachochea Uhai wa Kijiji Huko Taojiang, Mkoa wa Hunan, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 29, 2024
Michezo ya Kujifurahisha ya Wakulima Yachochea Uhai wa Kijiji Huko Taojiang, Mkoa wa Hunan, China
Wanakijiji wakishindana katika mbio za kubeba nafaka kwa kupokezana katika Shule Kuu ya Kijiji cha Gaoqiao, Wilaya ya Taojiang, Mkoa wa Hunan, China, Septemba 28. (Xinhua/Chen Sihan)

Michezo ya wakulima ya kujifurahisha imefanyika katika Kijiji cha Gaoqiao cha Wilaya ya Taojiang katika Mji wa Yiyang, Mkoa wa Hunan, China jana Jumamosi, Septemba 28. Michezo hiyo ya maalum ya kijijini ya kujifurahisha ambayo ni pamoja na kuvua samaki kwenye mashamba ya mpunga, kuvuta kamba na mbio za kubeba nafaka kwa kupokezana inaboresha maisha ya kitamaduni ya kijijini, huku ikionyesha mabadiliko mapya ya kijiji na mitindo mipya ya wakulima.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha