Teknolojia za kisasa zaidi na bidhaa za NEV zaonyeshwa mkoani Hainan, China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 30, 2024
Teknolojia za kisasa zaidi na bidhaa za NEV zaonyeshwa mkoani Hainan, China
Picha hii iliyopigwa Septemba 28, 2024 ikionyesha chasi la gari lenye teknolojia ya AI kwenye banda la kampuni ya Geely katika maonyesho ya teknolojia za kisasa zaidi na bidhaa za magari yanayotumia nishati mpya (NEV) huko Haikou, Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China, Septemba 28, 2024. (Xinhua/Pu Xiaoxu)

Kampuni zaidi ya 30 za Magari yanayotumia Nishati Mpya (NEV) zimeonyesha magari yao yanayotumia nishati mpya, betri na teknolojia zilizounganishwa kwa akili mnemba kwenye maonyesho ya teknolojia za kisasa zaidi na bidhaa za magari yanayotumia nishati mpya (NEV) huko Haikou, Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha