Lugha Nyingine
Maonyesho ya Kimataifa ya Tasnia ya Kauri ya Hunan (Liling) Mwaka 2024 Yafunguliwa
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 30, 2024
Watembeleaji wakitembelea Maonyesho ya Kimataifa ya Tasnia ya Kauri ya Hunan (Liling) Mwaka 2024, Septemba 29. (Xinhua/Chen Zhenhai) |
Maonyesho ya Kimataifa ya Tasnia ya Kauri ya Hunan (Liling) Mwaka 2024 yamefunguliwa siku ya Jumapili, Septemba 29, katika Mji wa Liling, mkoani Hunan, Kusini mwa China. Maonyesho hayo yataendelea hadi Oktoba 3, yakiwa na jumla ya kumbi 5 za maonyesho na kampuni 320 zinazoshiriki.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma