Wafanyakazi wakishughulika kujenga Stesheni ya Reli ya Chongqing Mashariki wakati wa likizo ya Sikukuu ya Taifa ya China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 08, 2024
Wafanyakazi wakishughulika kujenga Stesheni ya Reli ya Chongqing Mashariki wakati wa likizo ya Sikukuu ya Taifa ya China
Picha hii iliyopigwa tarehe 6 Oktoba 2024 ikionyesha eneo la ujenzi wa Stesheni ya Reli ya Chongqing Mashariki na kituo chake jumuishi cha usafiri katika Mji wa Chongqing, kusini-magharibi mwa China. (Xinhua/Wang Quanchao)

Wafanyakazi wakishughulika kujenga Stesheni ya Reli ya Chongqing Mashariki wakati wa likizo ya Sikukuu ya Taifa ya China ambayo kwa kawaida Wachina hupumzika, lakini kutokana na stesheni hiyo kupangwa kuanza kufanya kazi Mwaka 2025 wafanyakazi hao wameendelea kufanya kazi.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha