Mandhari Nzuri ya Majira ya Mpukutiko Yajitokeza kwenye Eneo la Kitalii la Linhu Gusai katika Mji wa Ulanqab, Mongolia ya Ndani, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 08, 2024
Mandhari Nzuri ya Majira ya Mpukutiko Yajitokeza kwenye Eneo la Kitalii la Linhu Gusai katika Mji wa Ulanqab, Mongolia ya Ndani, China
Picha ikionyesha mandhari nzuri ya majira ya mpukutiko ya Eneo la Kitalii la Linhu Gusai, katika Mji wa Ulanqab, Mongolia ya Ndani, China, Oktoba 6. (Xinhua/Lian Zhen)

Katika majira mazuri ya mpukutiko, mandhari ya Eneo la Kitalii la Linhu Gusai katika Kijiji cha Dayushu cha Wilaya ya Zhuozi katika Mji wa Ulanqab, Mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani, Kaskazini mwa China ni yenye kuvutia na kupendeza.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha