

Lugha Nyingine
Daraja Kuu la Mto Manjano la Wuhai, Kaskazini mwa China launganishwa pamoja (3)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 10, 2024
![]() |
Picha ikionyesha eneo la ujenzi wa daraja kuu la Mto Manjano la Wuhai katika Mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani, kaskazini mwa China, Oktoba 9, 2024. (Xinhua/Lian Zhen) |
Daraja Kuu la Mto Manjano la Wuhai Mkoa unaojiendesha wa Mongolia ya Ndani, kaskazini mwa China, ambalo ni sehemu ya reli ya mwendo kasi ya Baotou-Yinchuan, limeunganishwa pamoja siku ya Jumatano.
Ikiwa na muundo wa treni kuendeshwa kwa kasi ya kilomita 250 kwa saa, reli hiyo ya mwendo kasi ya Baotou-Yinchuan ni sehemu muhimu ya njia kiunganishi ya mlalo ya Beijing-Lanzhou katika mtandao wa reli za mwendo kasi wa nchi nzima ya China.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma