Mwonekano wa reli iliyojengwa na China mjini Hanoi, Vietnam

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 10, 2024
Mwonekano wa reli iliyojengwa na China mjini Hanoi, Vietnam
Abiria akitembea kwenye stesheni ya reli ya juu ya mjini ya Cat Linh-Ha Dong huko Hanoi, Vietnam, Oktoba 9, 2024. (Xinhua/Yao Qilin)

Reli ya juu ya mjini ya Cat Linh-Ha Dong imejengwa na Kundi la Sita la Kampuni za Reli za China ukiwa ni mradi muhimu wa China wa ujenzi wa pamoja wa Ukanda Mmoja, Njia Moja na mpango wa Vietnam wa "Shoroba Mbili na Mzunguko Mmoja wa Kiuchumi". 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha