Mji wa Binzhou wa Mkoa wa Shandong, China wahimiza maendeleo ya uchumi wa anga ya chini (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 11, 2024
Mji wa Binzhou wa Mkoa wa Shandong, China wahimiza maendeleo ya uchumi wa anga ya chini
Li Jie (kulia), Mwalimu wa Chuo Kikuu cha Usafiri wa Anga cha Shandong akiwaelezea wanafunzi kanuni za droni kwenye maabara huko Binzhou, Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China, Oktoba 9, 2024. (Xinhua/Yang Shiyao)

Uchumi wa anga ya chini umeendelezwa zaidi katika Mji wa Binzhou wa Mkoa wa Shandong Mashariki mwa China. Mji huo unatumia vya kutosha mpangilio wa maeneo kadhaa maalum ya viwanda, pamoja na nguvu bora ya kuwaandaa vipaji na Utafiti na Uundaji (R&D) vya Chuo Kikuu cha Usafiri wa Anga cha Shandong.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha