Watu wanaohudhuria Mkutano wa Kilele wa 6 wa Vyombo vya Habari Duniani watembelea Xinjiang (11)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 16, 2024
Watu wanaohudhuria Mkutano wa Kilele wa 6 wa Vyombo vya Habari Duniani watembelea Xinjiang
Watu waliohudhuria Mkutano wa Kilele wa 6 wa Vyombo vya Habari Duniani wakitembelea kijiji kilichoko Turpan, Mkoa wa Xinjiang, kaskazini-magharibi mwa China, Oktoba 15, 2024. (Xinhua/Chen Yehua)

Watu waliohudhuria Mkutano wa Kilele wa 6 wa Vyombo vya Habari Duniani uliofunguliwa Jumatatu mjini Urumqi, mji mkuu wa mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wauygur wa Xinjiang, kaskazini magharibi mwa China wametembelea mkoa huo na kuona maendeleo, mandhari ya kuvutia na hali mbalimbali za maisha ya wenyeji ikiwemo utamaduni wa jadi.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha