Maonyesho ya Midoli ya China Mwaka 2024 yaanza Shanghai

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 17, 2024
Maonyesho ya Midoli ya China Mwaka 2024 yaanza Shanghai
Wafanyakazi wa kampuni ya kuonesha bidhaa wakitangaza bidhaa zao kupitia matangazo ya moja kwa moja mtandaoni kwenye Maonyesho ya Midoli ya China Mwaka 2024 yanayofanyika Shanghai, Mashariki mwa China, Oktoba 16, 2024. (Xinhua/Fang Zhe)

Maonyesho ya Midoli ya China Mwaka 2024 ambayo yatafanyika kwa siku tatu yameanza Jumatano kwenye Kituo Kipya cha Kimataifa cha Maonyesho cha Shanghai, Mashariki mwa China yakivutia kampuni zaidi 2,500 za midoli kutoka ndani na nje kushiriki kwenye maonesho hayo ya bidhaa za midoli.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Renato Lu)

Picha