Tembo "yatima" waokolewa na kujengewa mazingira mapya ya kuishi wao wenyewe huko Nairobi, Kenya

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 18, 2024
Tembo
Tembo wakionekana kwenye picha katika Kituo cha Utunzaji wa Tembo Yatima jijini Nairobi, Kenya tarehe 16 Oktoba 2024. (Xinhua/Wang Guansen)

Kituo cha Kulea Tembo Yatima kilichopo nje kidogo ya Jiji la Nairobi nchini Kenya kinatibu na kuokoa tembo "mayatima" katika hifadhi mbalimbali za mazingira ya asili nchini Kenya. Kwa kupitia matibabu na mafunzo, hatua kwa hatua kumerejesha uwezo wa asili wa tembo ambao waliathiriwa na mambo ya mazingira ya asili na ya kibinadamu ili kuwasaidia kurejesha tabia yao ya asili na kuishi wao wenyewe bila tatizo.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha