

Lugha Nyingine
Maua ya krisanthemum yaingia msimu wa mavuno huko Liupanshui, Kusini Magharibi mwa China (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 21, 2024
![]() |
Wafanyakazi wakivuna maua ya krisanthemum kwenye kituo cha kupanda maua cha Wilaya ya Dawan ya Mji wa Liupanshui, Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China, Oktoba 19, 2024. (Xinhua/Tao Liang) |
Hivi karibuni msimu wa kuvuna maua ya krisanthemum umewadia katika Wilaya ya Dawan ya Mji wa Liupanshui, Mkoa wa Guizhou, kusini-magharibi mwa China. Katika miaka ya hivi karibuni, Mji wa Liupanshui umehimiza kuendeleza shughuli husika za maua ya krisanthemum ili kuongeza mapato ya watu.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Deng Jie)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma