

Lugha Nyingine
Mvuto wa Kazan, Mji wa Russia mwenyeji wa Mkutano wa Viongozi wa BRICS 2024 (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 22, 2024
Kazan ni mji mkuu wa Jamhuri ya Tatarstan ambayo iko chini ya Shirikisho la Russia. Kuna maeneo mengi ya kupendeza katika mji huu, maarufu zaidi miongoni mwa maeneo hayo ni Kazan Kremlin. Kutokana na historia na utamaduni wake tajiri, Kazan imeorodheshwa katika Orodha “A” ya miji ya kihistoria na kitamaduni ya Russia sambamba na Moscow na St. Petersburg. Mji huu mwaka huu, ni mwenyeji wa Mkutano wa 16 wa Viongozi wa BRICS uliopangwa kuanza leo Oktoba 22.
(Xinhua/Lai Xiangdong)
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Deng Jie)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma